Wadau wataka bajeti zaidi kukabili uhaba wa maabara nchini-3

Rombo/Lushoto. Kuongeza uwekezaji katika elimu na kutengeneza maabara zinazotembea, zimetajwa kuwa miongoni mwa suluhisho linaloweza kumaliza uhaba wa maabara za sayansi katika shule za sekondari za nchini. Hayo yanatakiwa kwenda sambamba na ushirikishwaji wa jamii na wadau kwa ujumla, kwani ili kumaliza uhaba huo zinahitajika jitihada za pamoja. Haya yanaelezwa wakati ambapo Tanzania inahitaji asilimia…

Read More

Panga pangua ya Samia | Mwananchi

Dar es Salaam. Rais  Samia Suluhu Hassan ameendelea kuimarisha safu yake ya utendaji kwa kufanya uteuzi viongozi na kupanga vituo vipya kwa balozi, hatua inayolenga kuongeza ufanisi wa taasisi za umma pamoja na kuimarisha mahusiano ya kimataifa. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Machi 18,2025  na Katibu Mkuu Kiongozi, Moses Kusiluka, mabadiliko hayo yanagusa maeneo…

Read More

Rais Samia Afanya Uteuzi wa Viongozi wa Kibalozi na Taasisi

Global Publishers March 18, 2026 0 Comments Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa viongozi katika nafasi mbalimbali za kibalozi na taasisi, ikiwa ni sehemu ya kuimarisha utendaji wa serikali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Bakari S. Machumu, uteuzi huo unahusisha viongozi…

Read More

FYATU MFYATUZI: Fyatu anapomkumbuka Fyatu Joni Kanywaji Makufuli

Najua unanisikia hata kama hutanijibu. Katika kumbukizi hili, mafyatu wenzako tunakukumbuka kinamna. Wapo wanaokulilia na wanaoshangilia kutegemea na hali. Leo, sitachonga sana bali kufyatuka. Kwanza, wasalimiwa na mafyatu wako wote na wananzengo. Tunakumiss kifyatu. Pili, pole kwa sababu, kama ulivyokuwa ukisema, kuna mafyatu utawashangaa. Ungerudi, ungejinyotoa roho namna mambo yalivyovurugika. Mfano, mafyatu na majipu uliyokuwa…

Read More