KONGAMANO LA MISA TAN SUMIT 2026 LAFANA MKOANI IRINGA

🎈 Mkuu wa Mkoa wa Iringa Kheri James akaribisha kuwekeza Iringa 🎈NSSF yatoa elimu kwa wadau, wataka wajiunge wafaidike na Mafao Mkuu wa Mkoa wa Iringa Kheri James amefungua Kongamano la  MISA TAN WADAU SUMMIT 2026 ambao umewakutanisha waandishi wa habari, wahariri na wadau wa habari ambapo amesema serikali ya Mkoa wa Iringa itaendelea kushirikiana…

Read More

Zoya: Binti wa miaka 14 anayepigania wasichana kubaki shuleni

Dar es Salaam. Methali isemayo “penye nia pana njia” inaakisi vyema safari ya Zoya-Fatimah Dewji (Zoya), msichana mwenye umri wa miaka 14 ambaye ameanza kuchukua hatua madhubuti kukabiliana na hedhi – moja ya changamoto zinazowazuia wasichana wengi nchini Tanzania kuhudhuria masomo kikamilifu. Licha ya kuwa bado ni mwanafunzi, Zoya ameanzisha kampeni iitwayo “Stay in School”…

Read More

TRA United v Yanga mechi za kimkakati

MSAKO wa pointi tatu kwa Yanga unaendelea leo huku ikiwa na wimbi kubwa la mastaa majeruhi ambapo wameongezeka wengine wanne na kufikia sita, baada Clement Mzize na Dickon Job kuwa nje. Yanga inayoongoza msimamo wa Ligi Kuu Bara ikiwa na pointi 36, leo ni mgeni wa TRA United, mechi ikichezwa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid…

Read More