TANZANIA YAADHIMISHA MIAKA 5 YA HAYATI DKT JOHN POMBE MAGUFULI
Leo Tanzania inaadhimisha miaka mitano tangu kuondoka kwa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli nyumbani kwake wilayani Chato mkoani Geita nhuku Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Emmanuel Nchimbi akiwa ameshawasili tayari kuongoza maadhimisho hayo ya kitaifa. Maadhimisho haya yanatarajiwa kupambwa na Misa Takatifu itakayofanyika…