NGORONGORO NI KAPU LILILOBEBA MATUNDA MATAMU, SASA TUNAYAUZA.
Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii Tanzania Ephraim Balozi Mafuru kwa niaba ya Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii ameongoza timu ya wizara hiyo kwenye kikao cha mkakati na viongozi wa wizara ya Utalii kutoka Jamhuri ya Zambia huku Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro ikijinasibu kwa upekee wa vivutio vilivyomo ndani ya hifadhi hiyo ambayo…