MKUTANO WA MAALUM (KIKAO CHA 3) WA BUNGE LA TANO LA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI (EALA) TAREHE 16 MACHI 2026
****** Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA) limemuapisha Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) kuwa Mbunge katika Bunge hilo leo tarehe 16 Machi 2026 katika mkutano Maalum wa Bunge la Tano la Jumuiya ya Afrika Mashariki uliofanyika kwa njia ya Mtandao (virtual platform). Mhe. Waziri…