Hofu yatanda Hormuz ikifungwa, Marekani yaita washirika kuifungua
Tokyo. Wakati Iran ikiapa kuzuia meli za mafuta kupita katika Mlango Bahari wa Hormuz, Rais wa Marekani, Donald Trump, ametoa wito kwa nchi washirika kushiriki katika kulinda na kufungua tena njia hiyo ya bahari, hata hivyo mwitikio kutoka kwa baadhi ya washirika wakuu umekuwa mdogo. Nchi kama Japan na Australia zimesema hazina mpango wa kutuma…