Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu Yakagua Maendeleo ya Ujenzi wa Chuo cha Usafiri wa Anga (CATC)
Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) imetembelewa na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu kwa lengo la kukagua eneo la mradi wa ujenzi na kujionea maendeleo ya ujenzi wa Majengo ya Kisasa ya Chuo cha Usafiri wa Anga (CATC) yaliyopo Banana–Ukonga, jijini Dar es Salaam. Ziara hiyo ya kikazi iliongozwa na Mwenyekiti wa…