TUME YA MADINI YAFUNGUA FURSA KWA VIJANA

 Na Mwandishi wetu – Dodoma. Tume ya Madini kwa kushirikiana na wadau mbalimbali imeendelea kutoa mafunzo ya kuongeza ujuzi kwa wachimbaji hasa vijana katika eneo la uchimbaji, uchenjuaji na uongezaji thamani pamoja na biashara ya Madini. Katika kipindi cha Julai hadi Desemba, 2025 Tume ya Madini imehakikisha inatekeleza Kanuni za Ushirikishwaji wa Watanzania ili kuongeza…

Read More

MoCU Yatangaza Nafasi za Kazi 20+ Katika Fani Mbalimbali, Mwisho wa Maombi Machi 27

Global Publishers March 16, 2026 0 Comments Dar es Salaam, Machi 16, 2026 – Moshi Co-operative University (MoCU) imefungua rasmi fursa za ajira kwa Watanzania katika nafasi mbalimbali za kielimu na utafiti kwenye Main Campus, Moshi na Kizumbi Institute of Co-operative and Business Education (KICoB), Shinyanga.  NAFASI ZA KAZI CHUO KIKUU CHA USHIRIKA MOSHI 14-03-2026…

Read More

STANDARD CHARTERED TANZANIA YAADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI KWA MCHANGO NA ELIMU YA FEDHA KATIKA HOSPITALI YA CCBRT

Dar es Salaam, Tanzania – 13 Machi 2026 – Katika kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani, Standard Chartered Tanzania imetembelea Hospitali ya CCBRT na kutoa mashine 12 za kushona kwa ajili yakuunga mkono Mpango wa Mabinti, unaolenga kuwawezesha wasichana na wanawake vijana kupitiamafunzo ya ujuzi na programu za urekebishaji wa maisha. Mashine hizo zitatumika katika Kituo…

Read More

Kinda Mtanzania atimkia Manchester | Mwanaspoti

SAFARI ya kinda wa Kitanzania, Gwakisa Mwakipesile  imeanza kuonja ladha ya ushindani wa soka katika Ligi Kuu ya Vijana England baada ya kucheza mechi yake ya kwanza kwa walio na umri chini ya miaka 18. Mwakipesile anayekipiga katika timu ya vijana ya Manchester Rose FC alipata nafasi ya kucheza Alhamisi wakati timu hiyo ilipokutana na…

Read More

FURSA MPYA ZA MADINI ZAWAFIKIA VIJANA

-Tume ya Madini yatangaza miradi, maeneo ya uchimbaji na mikopo ya uwekezaji kwa mwaka wa fedha 2026/2027 Dodoma Tume ya Madini imetangaza mipango ya miradi ya maendeleo na fursa mbalimbali kwa vijana katika mwaka wa fedha 2026/2027, ikiwa ni sehemu ya juhudi za Serikali kuweka mazingira wezeshi yatakayowawezesha vijana kushiriki kikamilifu katika Sekta ya Madini….

Read More