Gamondi: Dar Derby haikuwa ya kiwango cha juu
KOCHA wa Taifa Stars, Miguel Gamondi, ambaye alikuwa miongoni mwa watazamaji wa dabi ya Ligi Kuu Bara kati ya Azam na Yanga, amesema mchezo huo haukuwa na kiwango cha kuvutia. Akizungumza baada ya mchezo huo uliopigwa Uwanja wa Benjamin Mkapa, Gamondi alisema soka kwake ni burudani na mashabiki wanatarajia kuona timu zikishambulia, kutengeneza nafasi na kufunga…