Simulizi tamu ya Tepsie Evance na Okello wa Yanga

STAA wa zamani wa Simba na Taifa Stars, Shaban Kisiga aliwahi kusema kipaji kinakijua kipaji kingine hata kama wachezaji wanacheza timu tofauti. Hali hiyo imetokea kwa winga wa Azam anayecheza JKT Tanzania kwa mkopo, Tepsi Evance ambaye jina la utani wanamwita Okello. Kauli ya Kisiga ilitokana na kiungo wa zamani wa Yanga, Haruna Niyonzima aliyewahi…

Read More

Diarra njia nyeupe, apewa mmoja mpya kikosini

INAWEZEKANA unafuatilia matokeo tu ya Simba, Yanga na Azam FC namna zinavyokimbizana msimu huu, lakini kuna vita nyingine ngumu ipo kwenye mabao yao kwani makipa wa timu hizo wanatoana jasho kwa ubora mkubwa huku Djigui Diarra akionekana hana mpinzani wa karibu kwa sasa. Diarra mmoja kati ya makipa bora kuwahi kutokea kwenye ligi yetu, msimu…

Read More

Simba, Yanga zapigana vikumbo saini ya Fofana

YANGA jana usiku ilikuwa Uwanja wa Benjamin Mkapa ikipambana kwenye Dar es Salaam Dabi dhidi ya wenyeji wa Azam FC lakini kuna vurugu mabosi wao wameifanya nchini Ivory Coast itakayomfanya mtani wake Simba kujipanga sawasawa kivita. Mabosi wa Yanga wamevamia pale ASEC na wamepima maji na kuona yule mshambuliaji Souleyman Fofana anawafaa kwa matumizi ya…

Read More

KITILA AWASHUKURU VIONGOZI WA DINI UBUNGO

Mbunge wa Jimbo la Ubungo na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais–Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo akimzungumza wakati wa hafla ya Iftar iliyoandaliwa na Ofisi ya Mbunge kwa kushirikiana na Kituo cha Biashara na Usafirishaji cha Afrika Mashariki (EACLC) ****** Na Mwandishi Wetu. Mbunge wa Jimbo la Ubungo na Waziri wa Nchi, Ofisi ya…

Read More

MPANDA- KIGOMA KUUNGANISHWA KWA LAMI

****** Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali imedhamiria kuufungua mkoa wa Katavi kwa barabara za lami ili kuchochea uchumi wa mikoa ya kanda ya magharibi. Akizungumza na wananchi wa Wilaya ya Mlele mkoani Katavi Dkt. Nchemba amesema nia ni kurahisisha huduma za usafiri na uchukuzi ili kukuza uchumi wa wananchi katika mwambao wa ziwa…

Read More

Alliance ipo sokoni ikitafuta kocha

ALLIANCE Girls imeingia kambini rasmi Ijumaa kuanza maandalizi ya Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania inayotarajiwa kurejea April 03, huku uongozi wa timu hiyo ukianza mchakato wa kusaka kocha mkuu mpya atakayeiongoza kikosi hicho katika mzunguko wa pili. Mabadiliko hayo yanafanyika katika benchi la ufundi kufuatia aliyekuwa kocha mkuu wa timu hiyo, Sultan Juma kuondoka baada…

Read More

Sio Ibenge wala Pedro Dar es Salaam Dabi

LICHA ya kushuka dimbani ikiwa na safu kali ya ushambuliaji inayoundwa na washambuliaji hatari wa Ligi Kuu Bara kwa sasa, Depu na Prince Dube, wenye jumla ya mabao 12, Yanga imeshindwa kuonyesha makali yake mbele ya lango baada ya kutopiga hata shuti moja lililolenga lango la Azam FC katika mchezo uliomalizika kwa suluhu. Mchezo huo…

Read More

Sio Ibenge wala Pedro Daresalaam Dabi

LICHA ya kushuka dimbani ikiwa na safu kali ya ushambuliaji inayoundwa na washambuliaji hatari wa Ligi Kuu Bara kwa sasa, Depu na Prince Dube, wenye jumla ya mabao 12, Yanga imeshindwa kuonyesha makali yake mbele ya lango baada ya kutopiga hata shuti moja lililolenga lango la Azam FC katika mchezo uliomalizika kwa suluhu. Mchezo huo…

Read More