Wacongo kumpa muhula wa Denis Sassou Nguesso?
Dar es Salaam. Wananchi wa Jamhuri ya Kongo (Congo Brazzaville), wamepiga kura leo Jumapili Machi 15, 2026 kumchagua Rais wao mpya katika uchaguzi ambao wachambuzi wengi wanaona unaweza kumrejesha tena madarakani kiongozi mkongwe, Denis Sassou Nguesso. Takribani wapiga kura milioni 3.2 walijiandikisha kushiriki katika uchaguzi huo, lakini mchakato umeingia katika mjadala mkali baada ya vyama…