Chaumma yaingia TCD na matarajio makubwa
Dar es Salaam. Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) kimedhamiria kutumia uanachama wake wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) katika kukuza demokrasia nchini. Hayo yamebainishwa Machi 13, 2025 jijini Dar es Salaam na Katibu Mkuu wa Chaumma, Salum Mwalimu wakati wa Iftar iliyoandaliwa na TCD, ikiwashirikisha wadau tofauti wa demokrasia vikiwamo vyama vya siasa. Akizungumza…