Meridianbet Yatoa Tabasamu la Ramadhani Kwa Msaada wa Vyakula
KATIKA kuuenzi mwezi mtukufu wa Ramadhani, Meridianbet imegusa maisha ya jamii kwa kutoa msaada wa vyakula na mahitaji muhimu ya nyumbani kwa familia zenye uhitaji jijini Dar es Salaam. Hatua hii imekuja kama mwanga wa matumaini kwa kaya nyingi zinazokabiliwa na changamoto, na kuwapa nafasi ya kuendelea kufunga mwezi huu wa baraka kwa utulivu. Kupitia…