Kim Jong Un, Binti Yake Wafyatua Risasi Kiwanda cha Silaha Korea Kaskazini
Bakari Mahundu March 13, 2026 0 Comments Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un, ameonekana akifyatua risasi kwa bastola pamoja na binti yake, Kim Ju-ae Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un, ameonekana akifyatua risasi kwa bastola pamoja na binti yake, Kim Ju-ae, wakati wa ziara ya ukaguzi katika kiwanda cha kutengeneza silaha nyepesi nchini…