Haji Manara Azungumzia Mchango wa Ssebo Kwenye Tasnia ya Habari ‘Tumepoteza Mtu Muhimu’ – Video

Global Publishers March 13, 2026 0 Comments Diwani wa Kata ya Kariakoo, Haji Manara, amezungumzia kuhusu marehemu Denis Busulwa almaarufu Ssebo, akimwelezea kama mtu aliyekuwa na moyo mkubwa wa kusaidia watu na aliyependa kuwa karibu na jamii enzi za uhai wake. Manara amesema Ssebo alikuwa mtu mwenye upendo na mshikamano mkubwa, ambaye alijenga urafiki na…

Read More

Sababu 10 Zinazoua Biashara Mpya Kabla Hazijafika Mwaka Mmoja

Kuanza biashara ni hatua ya ujasiri inayohitaji ndoto, mtaji na mipango. Hata hivyo, takwimu na uhalisia vinaonyesha kuwa zaidi ya nusu ya biashara mpya hufa ndani ya miaka miwili ya kwanza. Swali muhimu ni: Kwa nini watu wengi wanaanguka hata baada ya kuanzisha biashara waliyoamini inaweza kuwapa mafanikio? Makala hii inachambua chanzo cha changamoto hizo—ikiungwa…

Read More

Fahamu Maajabu ya Toyota Prius na Namna Inavyotumia Teknolojia ya Umeme (EV Mode) – Video

Toyota Prius imekuwa mfano wa ubunifu katika sekta ya magari duniani kutokana na mfumo wake wa Hybrid Synergy Drive, unaounganisha injini ya petrol na motor ya umeme. Gari hili limejulikana kwa kutumia mafuta kidogo, utulivu barabarani, na teknolojia rafiki kwa mazingira, jambo ambalo limeifanya kuwa chaguo la kwanza kwa watu wanaotaka usafiri wa kisasa, salama,…

Read More

Pedro afichua mkakati mpya Yanga

PIGO kubwa ililopata Yanga pale kwenye safu ya ulinzi kutokana na beki na nahodha msaidizi, Dickson Job kuumia, limeendelea kuwa gumzo na kuibua wasiwasi, sio ndani ya timu pekee, bali hata kwa mashabiki wakijiuliza sasa itakuwaje bila  uwepo wake. Job ambaye amefanyiwa upasuaji wa goti huku taarifa zikibainisha kwamba hadi kufikia Juni 2026 anaweza kurudi…

Read More

Barker ataja sababu za kumuweka benchi Mpanzu

LICHA ya Elie Mpanzu kuonekana kupoteza nafasi ya kuanza katika kikosi cha kwanza cha Simba kufuatia ujio wa Anicet Oura na Libasse Gueye, kocha wa timu hiyo, Steve Barker ameweka wazi kuwa bado ana imani kubwa na Mkongomani huyo, huku pia akitaja sababu ya kumuweka benchi. Mpanzu ambaye kwa kipindi cha karibuni amekuwa akitokea zaidi…

Read More

Yanga yaikimbiza Simba Bara | Mwanaspoti

TUZO zinazotolewa kila baada ya mechi za Ligi Kuu Bara, ukiangalia katika vikosi vya Simba na Yanga, wageni ndio wamekuwa vinara wa kuchukua mara nyingi na idadi kubwa ya wachezaji mbele ya wazawa. Tuzo hizo zimeelezwa na wadau pamoja na makocha kuibua ushindani wa timu pamoja na kupandisha thamani ya wachezaji. Kama kawaida ya utani…

Read More

Depu aendeleza moto Ligi Kuu, Nsajigwa hali bado tete

LAURINDO Aurelio ‘Depu’ amempatia kocha Pedro Goncalves kile alichohitaji baada ya kufunga bao pekee wakati Yanga ikiichapa Tanzania Prisons. Depu ambaye alitokea benchi kipindi cha pili akiingia kuchukua nafasi ya Mohamed Damaro, dakika ya 78 alifunga bao hilo kufuatia kipa wa Tanzania Prisons, Mussa Mbissa kushindwa kuokoa mpira wa faulo uliopigwa na Allan Okello. Mechi…

Read More