RAIS DKT. SAMIA SULUHU MWANADEMOKRASIA WA KISIASA

By Hamis Shimye Rais Dk. Samia Suluhu Hassan ameonyesha ni mwanasiasa wa kidemokrasia mwenye kufuata taratibu za demokrasia kwa dhamira yake ya muhimu ya kukutana na wagombea wa urais walioshiriki Uchaguzi Mkuu wa 2025 kutoka vyama vya upinzani Ikulu, jijini Dar es Salaam Machi 31, 2026. Tukio hilo limefanyika katika mazingira ya ushirikiano na uwazi…

Read More

TCCA YAMPONGEZA DKT. NASRA KUSAIDIA SEKTA YA ANGA

Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania TCAA kupititiakwa mkurugenzi wake Ramadhani Msangi imempongeza Mkurugenzi wa kituo cha afya cha Aerospace Medical and Training Centre (AMTc) Kwa kutengeneza kitabu chenye muongozo wa kutoa huduma za afya kwenye ndege, akisema huo ni mwanzo mpya wa kusaidia huduma za anga nchini Tanzania. Wakati wa uzinduzi wa kitabu hicho…

Read More

A – Z: Biashara Ya Mafuta Ya Magendo Inavyofanyika Tanzania, Bandari Bubu Hatari Zatajwa – Video

Global Publishers April 5, 2026 0 Comments Uchunguzi uliofanywa na Global TV kupitia makala yake maalum umeweka wazi ukweli unaoshtua kuhusu biashara ya mafuta ya kula ya magendo nchini. Biashara hii, ambayo imekuwa ikisambaa kimyakimya, inaonekana kuwa na mtandao mpana unaovuka mipaka na kuhusisha wahusika mbalimbali kutoka ngazi ya usafirishaji hadi wauzaji wa rejareja. Kwa…

Read More

Mali zinavyowatoa roho wanandoa | Mwananchi

Canada. Kuna visa vinavyozidi kuongezeka ambapo wanandoa hutoana roho kisa mali. Japo tutakachojadili hapa si kipya, kuna mafunzo mapya tunaweza kutoa kutokana na ama uzoefu wetu au wenu. Hivi karibuni,visa vya wanadoa kutoana uhai juu ya mali vimezidi kushamiri. Si kwamba havikuwepo, vilikuwapo ila siku hizi vimezidi. Hii ni kutokana na utandawazi na uelewa wa…

Read More