Mali zinavyowatoa roho wanandoa | Mwananchi

Canada. Kuna visa vinavyozidi kuongezeka ambapo wanandoa hutoana roho kisa mali. Japo tutakachojadili hapa si kipya, kuna mafunzo mapya tunaweza kutoa kutokana na ama uzoefu wetu au wenu. Hivi karibuni,visa vya wanadoa kutoana uhai juu ya mali vimezidi kushamiri. Si kwamba havikuwepo, vilikuwapo ila siku hizi vimezidi. Hii ni kutokana na utandawazi na uelewa wa…

Read More

Fanya haya ukikutana na mwenza ‘uliyemmis’

Dar es Salaam. Dakika chache za mwanzo mnapokutana na mwenza wako baada ya kutengana kwa muda, hata kama si mrefu, zina umuhimu mkubwa katika kuimarisha au kudhoofisha uhusiano wenu. Huenda mwenza wako alikuwa kazini au safarini, na kwa muda huo ukawa ukimkosa au hata hisia hizo zikaanza kupoa. Unapokutana naye tena iwe ni uwanja wa…

Read More

Pesa za mke zinaweza kuvunja ndoa?

Mwanza. Fikiria hali hii: mke anapata mshahara mkubwa kuliko mume. Je, hiyo ni baraka kwa familia au mwanzo wa migogoro? Kwa miaka ya hivi karibuni, mada hii imezua mjadala mkubwa, hasa kufuatia kazi za kitafiti zinazodai kuwa ndoa ambazo mwanamke ndiye mtoa kipato mkuu,  zinaweza kuwa na hatari kubwa ya kuvunjika. Hata hivyo,  je, ni…

Read More

Mbeya Jiji yaanza tambo Shimisemita

ZAIDI ya wanamichezo 5000 wanatarajia kukutana jijini Mbeya kwa ajili ya kushiriki michuamo ya Shirikisho la Michezo kwa Serikali za Mitaa Tanzania (Shimisemita) itakayoanza Agosti 15 hadi 29 mwaka huu, huku wenyeji Jiji la Mbeya wakitamba kufanya vizuri. Michuano hiyo inatarajia kushirikisha Halmashauri zote 184 hapa nchini na mwaka huu kitaifa itafanyika jijini Mbeya, huku…

Read More