Global Publishers
April 5, 2026
0 Comments
Unaponunua simu mpya, moja ya sehemu muhimu zaidi ni betri. Betri halisi ni uhakika wa maisha marefu ya simu, utendaji thabiti, na usalama wa kifaa chako. Hapa kuna mwongozo wa namna ya kuthibitisha kama battery ni original kabla ya kununua.
1. Nunua Simu Kwa Duka Rasmi au Wakala Aliyeidhinishwa
Simu zinazouzwa kwa maduka yasiyo rasmi mara nyingi zinaweza kuwa na betri bandia. Ili kuepuka hatari:
2. Kagua Ufungashaji wa Simu
Battery halisi kawaida huja na simu ambayo imefungwa vizuri:
-
Seal ya boksi iwe thabiti, isiyokuwa imevunjika.
-
Logo na maandishi yawe safi, yasiyo na makosa ya tahajia.
-
Angalia IMEI iliyoko kwenye boksi na kuhakikisha inalingana na ile ya simu (Dial *#06#).
3. Angalia Hali ya Betri Kwenye Settings
Kwa simu nyingi za kisasa, unaweza kuangalia afya ya battery bila kufungua kifaa:
-
iPhone: Settings > Battery > Battery Health & Charging
-
Samsung: Samsung Members App > Device Diagnostics
-
Xiaomi: Settings > About Phone > Battery Status
Dalili za battery isiyo original: ujumbe wa “Unknown Part” au “Battery Not Genuine”.
4. Kagua Utendaji wa Battery
Dalili za battery bandia ni:
5. Thibitisha Kupitia Kampuni Husika
Brand nyingi hutoa njia za kuthibitisha kifaa:
-
Samsung – Samsung Members App
-
Apple – Settings > Battery Health
-
Xiaomi – MIUI Security Verification
Hii inathibitisha kama betri na sehemu nyingine za simu ni halisi.