Nafasi 24 za Kazi TIA na TMA, Mwisho wa Maombi Aprili 14, 2026

Global Publishers
April 5, 2026
0 Comments

Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS), imetangaza nafasi 24 za ajira kwa niaba ya Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA).

Nafasi zilizotangazwa:

1. Tanzania Institute of Accountancy (TIA)

  • Assistant Lecturer (Procurement & Logistics Management) – Nafasi 2

Waombaji wanatakiwa kuwa na Shahada ya Uzamili (Masters) na GPA ya angalau 3.8 pamoja na Shahada ya Kwanza yenye GPA ya angalau 3.5.

2. Tanzania Meteorological Authority (TMA)

  • Assistant Meteorological Officer II – Nafasi 22

Sifa kuu ni kuwa na Stashahada (Diploma) ya Meteorology kutoka taasisi inayotambuliwa.

 Mambo Muhimu kwa Waombaji:

  • Awe raia wa Tanzania na asiwe na zaidi ya miaka 45
  • Awe ameambatanisha vyeti vyote muhimu vilivyothibitishwa
  • Maombi yote yatumwe kupitia mfumo wa Ajira Portal pekee
  • Barua ya maombi iandikwe kwa Kiswahili au Kiingereza

Mwisho wa Kutuma Maombi:

14 Aprili 2026

Sasa mchezo umebadilika. Meridianbet inaleta njia mpya ya kufurahia ubashiri kupitia Win&Go, ambapo hata unapopoteza, bado unapata sababu ya kutabasamu. Hii ni ofa iliyobuniwa kwa mchezaji anayejua kuwa kila jaribio lina thamani na kila siku ni nafasi ya kurudi kwa nguvu zaidi Soma zaidi hapa chini kwa kuvonyeza link.