Je unajua kuwa Meridianbet ndio wakali wa Odds Tanzania?. Yaani namaanisha kuwa ukitaka Odds kubwa na za kibabe wewe njoo hapa na ubashiri leo. Lakini pia unaweza ukaibuka bingwa kwani machaguo ni mengi hapa.
Ni mpambano mkali wa kukata na shoka kati ya Real Madrid na Bayern Munich ndani ya UEFA Champions League hatua ya Robo Fainali mechi ya kukupatia pesa nzuri kwa dau lako dogo siku ya leo ndani ya Meridianbet kwani hapa ndipo ndoto zako zinaweza kutimia.
Hili ni pambano la kibabe linaloenda kupigwa pale Santiago Bernabeu huku mabingwa mara nyingi Real Madrid wakitaka kupata pointi 3 wakiwa nyumbani chini ya mashabiki zao. Timu hii ambayo ipo chini ya kocha mkuu Arbeloa imekuwa ya kitofauti sana na imejengwa kwenye misingi ya kushambulia zaidi lango la mpinzani na mbinu hizo zimeweza kuwalipa sana hasa kwenye mechi za mtoano.
Shinda pesa kwenye michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Wakati kwa upande wa Bayern Munich nao msimu huu imekuwa ni moja ya timu tishio sana Ulaya kwani imefuzu hatua hii bila kupoteza mechi yoyote kwenye mashindano hayo. Chini ya Vicent Kompany timu hiyo imezidi kutawala soka la Ujerumani lakini pia sasa wanahitaji hili Kombe ambalo mara ya mwisho kulipata ilikuwa ni 2020.
Madrid licha ya kuwa na wachezaji wazuri eneo la ushambuliaji, shida imekuja kwenye eneo la ulinzi, kwani wamekuwa wakiruhusu sana nyavu zao kutikiswa na wapinzani, lakini pia imekuwa ni rahisi kufikiwa. Hivyo kupata Cleansheet imekuwa changamoto na hii ndio huwapa nafasi nzuri wapinzani kupata mabao dhidi yao.
Bayern kwenye ligi wapo kileleni huku pia kwenye UEFA wapo kwenye timu nzuri zinazopigiwa chapuo kufika mbali kwenye michuano hii. Na hii ni kutokana na ubora wa wachezaji ambao wanamiliki sasa kama vile kina Kane, Olise, Musiala na wengine ambao wanaifanya timu hiyo kuwa na nafasi ya kubeba Kombe hili.
Je kina Mbappe, Vini, Rodrygo, Bellingham na wachezaji wengine wa Arbeloa watafanya nini kwenye mechi ya kwanza?. Je Bayern wanaweza wakaibuka na ushindi ugenini kwenye mechi ya kwanza?. Meridianbet inakwambia kuwa nafasi ya wewe kuchukua pesa ipo. Beti hapa.
Nao Arsenal watasafiri kuchuana vikali dhidi ya Sporting CP ya kule Ureno ambao ni mabingwa watetezi wa ligi kuu huko. The Gunners kwenye mechi hii pale Meridianbet ndio wanapewa nafasi ya kushinda mechi hii kutokana na uimara wa kikosi ambao wanao hadi sasa kwani wameruhusu mabao machache hadi sasa.
Sporting CP wanaingia kwenye mechi hiibila uoga. Wanapokuwa kwenye siku yao, wanaweza kuonekana hatari sana kwa sababu wanacheza kwa ubunifu na ujasiri mkubwa, wakichukua hatari ambazo mara nyingi huzalisha nafasi za ghafla. Hii inawafanya kuwa timu ngumu kusoma, kwani wanaweza kubadilika haraka kutoka kujilinda hadi kushambulia kwa kasi kali.
Kwa upande wa Arsenal, wao wanabeba jukumu la kudhibiti mechi kama ambavyo tunawajua kwani ni moja ya timu ambazo kwenye kujilinda wapo vizuri sana ndio maana hata timu zingine hupata shida sana kupiga mashuti yanayolenga lango kwa upande wao.
Tofauti kubwa hapa ni namna timu hizi zinavyokabiliana na presha. Arsenal wanataka mpira uwe kwao ili kupunguza presha, huku Sporting wakitaka kuutumia mpira kwa haraka ili kuleta presha kwa mpinzani. Hivyo, kila timu itakuwa inajaribu kuichezea nyingine kwa mtindo usio wa kawaida kwake.
Takwimu zinaonesha kuwa timu hizi mbili zimekutana sana kwenye mashindano mengi ikiwemo Europa, lakini Sporting hajawahi kupata ushindi mbele ya Arsenal. Hii ni nafasi ya wao kutumia siku ya leo wapate ushindi mnono. Lakini pia wanakutana na The Gunners yenye presha ambayo inataka kupata matokeo mazuri ili wajiweke kwenye nafasi ya kushinda taji hili ambalo ni ndoto kwao.
Kule uwanja wa Meridianbet wanampa nafasi ya kushinda Arsenal kutokana na ubora wa ligi anaotoka lakini pia mwendelezo wa matokeo mazuri kwenye mashindano haya kwani alifanikiwa kushinda mechi karibu zote bila kupoteza. Je wewe nafasi hiyo unampa nani siku ya leo?. Suka jamvi hapa.