Je, Barcelona Watalipa Kisasi cha Aibu ya 4-0?

HII si mechi ya kawaida, ni suala la heshima kwa Hansi Flick na wanae. Watu wamesahau Atletico waliwafanya vibaya kwenye Copa del Rey, wakiwapiga 4-0. Leo usiku kule Camp Nou, Barcelona hawawezi kukubali kipigo tena ingawa mpila unamatokeo ya ajabu.
Kwa mtazamo wa kimbinu, Hansi Flick si kocha wa kukaa nyuma anasubiri, yeye ni mtu wa wakutumia mbinu zaidi na kumshambulia mpinzani. Wakati mwingine inawasaidia kufunga magoli kama mvua, lakini inapogeuka hukutananacho kama ilivyowakuta huko kwa Atletico .
Sasa, anaingia kwenye dimba la nyumbani akiwa na hasira, lakini pia akiwa hana Frenkie de Jong aliyepo nje . Bado, yuko na Lamine Yamal, Kwa upande wa Atletico, wana “Papa” Diego Simeone. asiyekubali kushindwa, hata kama wako ugenini. Ingawa wanakuja na rekodi mbaya ugenini dhidi ya Barca, Simeone ana ujanja wa kuwabanana kuto toa uhuru kwa mpinzani.
Habari mbaya kwao ni kwamba wanamkosa Johnny Cardoso kwenye kiungo, na hilo linawafanya wacheze kwa uwangalizi mkubwa mbele ya viungo wa Barca. Hata hivyo, uwepo wa Lookman Griezmann na Alvarez, hizo ni silaha zinazoweza kuharibu mipango ya Flick kwa namna wanavyo tengeneza mashambuliz ya haraka. Jisajili na Meridianbet
Kwenye nafasi za nyota, Barcelona wana Raphinha ambaye amekuwa mtu wa maajabu, lakini yeye yuko nje kwa majeraha . Kukosekana kwake ni pigo kwao, maana yeye ndiye aliyekuwa akiongoza mashambulizi . Hata hivyo, Pedri amerejea.
Ingia kwenye kasi ya kujishindia pesa kwenye michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Kwenye msimamo wa michuano Barcelona wamekuwa wakicheza kwa nidhamu ya hali ya juu ikumbukwe alimtoa Newcastle united kwenye hatua ya 16 bora kwa idadi ya magoli 8-3 ambapo ali[po kuwa nyumbani alishinda mabao 7-2.
Kwa Simeone ni mtu wa kucheza na akili za wapinzani, atajaribu kugomea na kutumia mbinu za kuchelewesha muda na kuzuia sana. Leo usiku, siyo suala la ubora pekee, bali ni suala la akili za kichwani. Yule atakayeshinda leo ndiye atakayeamua kukaa na nafasi kubwa zaidi kwenye mbio za kuelekea fainali.