YANGA imeendeleza ubabe katika Ligi Kuu Bara ikiichapa Pamba Jiji mabao 3-0 yaliyofungwa na Mudathir Yahya mawili na Maxi Nzengeli moja na kutanua rekodi ya mabingwa hao huku ikiivunja ya wenyeji wao waliokuwa hawajapoteza nyumbani msimu huu.
Muda wa Pedro, 'No Diarra, No Problem'