Washambuliaji Yanga wapewa kazi nzito baada ya majeraha

BAADA ya kukaa nje kwa muda kutokana na majeraha, hivi sasa Prince Dube na Laurindo Aurelio ‘Depu’ wameanza mazoezi mepesi na wakati wowote watarejea uwanjani. Lakini, kutokana na hilo, Kocha Mkuu wa Yanga, Pedro Goncalves amewapa kazi mpya kuifanya washambuliaji hao akitaka mmoja kati yao achukue tuzo ya mfungaji bora msimu huu Ligi Kuu Bara….

Read More

Singida BS yamalizana na kocha Mkongo

SINGIDA Black Stars imemalizana na kocha Papi Kimoto anayetua kuifundisha timu hiyo ambayo hivi karibuni ilitangaza kuvunja benchi lote la ufundi. Kimoto, raia wa DR Congo anatua Singida BS baada kuachana na Union Maniema iliyoishia hatua ya 16 bora katka Kombe la Shirikisho Afrika msimu huu. Taarifa kutoka nchini DR Congo ni kwamba, juzi usiku…

Read More

Simba, Azam katika msako mgumu Ligi Kuu ya NBC

LIGI Kuu Bara Alhamisi hii, Aprili 9, 2026, inaendelea na kama utafuatilia basi tambua kwamba macho yote yatakuwa kule Kaskazini katika mikoa ya Arusha na Manyara ambapo kutakuwa na dakika 180 ngumu kutoka kwa timu nne tofauti zikiwa na hesabu ngumu zikiwahusisha Azam na Simba. Tuanzie pale Sheikh Amri Abeid jijini Arusha ambapo Simba itakuwa…

Read More

Ma ‘proo’ wafunika upishi wa mabao Ligi Kuu

KATIKA misimu mitano ya Ligi Kuu Bara, wachezaji wa kimataifa ‘maproo’ wameonekana kutawala kuwa vinara wa asisti, huku mzawa Feisal Salum ‘Fei Toto’ akikataa unyonge. Katika misimu hiyo kuanzia 2020-2021, jina la kiungo wa Simba, Clatous Chama raia wa Zambia, limeibuka mara mbili huku akiwa na rekodi ya asisti nyingi ambazo ni 15 msimu wa…

Read More

Kipa Fofana akerwa na kukosa nafasi Azam FC

KIPA wa Azam FC, Issa Fofana huenda akaondoka mwishoni mwa msimu huu kutokana na kile kinachodaiwa kutoridhishwa na nafasi yake ndani ya kikosi hicho. Fofana alisajiliwa Azam msimu huu akitokea Al Hilal Omdurman ya Sudan ambako alikuwa na nafasi ya kuanza kikosi cha kwanza. Mkataba wake Azam unamalizika Juni 30, 2027. Taarifa za uhakika kutoka…

Read More