Video: Jafo Apendekeza Mishahara ya Laki 5 na 7 Kwa Vijana, Ajira za Mikataba

Global Publishers
April 9, 2026
0 Comments

Mbunge wa Kisarawe, Seleman Jafo

Mbunge wa Kisarawe, Seleman Jafo ameshauri serikali kuwachukua vijana waliohitimu vyuo na vyuo vikuu nnchini, kisha kuwapa ajira za mikataba, wenye Diploma walipwe shilingi laki 5 na wenye digrii walipwe shilingi laki 7.

Video kamili ipo Youtube, Global TV.

🔴 Tufuatilie kupitia YouTube ya Global TV, like, comment ili kuendelea kuhabarika kila siku kwa habari mbalimbali zenye ukweli na uhakika.