Mzunguko wa 14 WPL ulivyogeuza mambo

BAADA ya mzunguko wa 14 wa Ligi Kuu ya Wanawake (WPL) kutamatika juzi, Alhamisi, ligi hiyo itasimama siku 11 kwa ajili ya mapumziko mafupi ya ratiba ya mechi za kimataifa. Ligi hiyo itasimama kwa takribani siku 11 kupisha dirisha la mechi za kimataifa lililoanza Aprili 7 hadi 18.  Hivyo WPL inatarajiwa kurejea Aprili 21 kwa…

Read More

TMA FC inavyosaka rekodi ngumu kwa Yanga

WAWAKILISHI wa Championship, TMA FC ya jijini, Arusha, itakuwa na kibarua kigumu leo kuisaka rekodi mpya ya kufuzu hatua ya robo fainali ya Kombe la CRDB, itakapocheza dhidi ya mabingwa watetezi wa michuano hiyo, Yanga. Katika mechi hiyo ya hatua ya 16 bora itakayopigwa Kwenye Uwanja wa KMC Complex, Mwenge, jijini, Dar es Salaam, kuanzia…

Read More

Kocha Simba amchambua Okello, afichua mipango

KUNA viungo wawili wamewaka pale Yanga wakipiga mabao na asisti lakini kocha mmoja aliyewahi kufundisha Simba amemtaja mmoja akisema huyo Allan Okello kama ameshaanza balaa hilo, timu pinzani zijiandae kwani atafanya makubwa. Iko hivi; kwenye mabao saba ambayo Yanga imeyafunga katika mechi zake tatu zilizopita, Okello amehusika kwenye mabao matano kwa kufunga na kupiga asisti…

Read More

Kinachoiharibia Simba chatajwa, Magori afunguka!

MASHABIKI wa Simba wanalia na timu hiyo kuendelea kuangusha pointi Ligi Kuu Bara, baada ya juzi kutoka suluhu na TRA United, mjini Arusha, huku ikimtegemea mshambuliaji mmoja, Selemani Mwalimu. Ni kutokana na hilo, mastraika ndio wanaoweza kuinyima ubingwa timu hiyo endapo itaendelea kupoteza ubora wa kuamua mechi kupitia eneo hilo la mwisho ambalo ndilo mahususi…

Read More

Vita ya Iran Yatikisa Uhusiano wa Marekani na Ulaya, Waziri Mkuu wa Uingereza Afunguka

Global Publishers April 11, 2026 0 Comments Waziri Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer, amesema amechoshwa na athari za kiuchumi zinazotokana na maamuzi ya Rais wa Marekani, Donald Trump, huku mvutano kati ya Ulaya na Marekani ukiongezeka kufuatia vita ya Iran. Akizungumza katika mahojiano, Starmer alisema familia na wafanyabiashara nchini Uingereza wanaathirika na kupanda na kushuka…

Read More