DKT.HOMERA AKABIDHI MAGARI MAWILI TANESCO NAMTUMBO

Mbunge wa Jimbo la Namtumbo Dk Juma zuberi Homera Aprili 11, 2026, Amekabidhi rasmi magari mawili kwa Ofisi ya TANESCO wilayani Namtumbo, hatua inayolenga kuongeza ufanisi na kasi ya utoaji wa huduma ya umeme katika jimbo letu. Kupatikana kwa magari haya ni sehemu ya juhudi endelevu za kuboresha miundombinu na kuimarisha upatikanaji wa huduma muhimu…

Read More

Mungu ametupa mamlaka ya kushinda nguvu za giza

Bwana Yesu asifiwe, ninaitwa Mwalimu Joseph Felix Joseph wa Kanisa la Moravian Mbeya, ninakukaribisha katika mahubiri ya leo Jumapili. Somo letu linatokana na Marko 16:14, ambapo Yesu Kristo aliyefufuka anajidhihirisha kwa wanafunzi wake na kuwakemea kwa kutokuamini na ugumu wa mioyo yao. Hii ni baada ya ushuhuda wa kufufuka kwake kutolewa mara kadhaa, lakini bado…

Read More

CAG abaini dosari vifo vya uzazi, atoa tahadhari

Dar es Salaam. Licha ya juhudi mbalimbali za Serikali kuboresha afya ya uzazi, ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere, imebaini udhaifu katika mifumo ya takwimu, huduma na rufaa unaochangia kuendelea kwa vifo vya wajawazito vinavyoweza kuzuilika. Changamoto za kumbukumbu zimeonekana zaidi katika hospitali za rufaa za mikoa, ambapo…

Read More

WhatsApp inavyozika vikao vya sherehe

Dar es Salaam. Mabadiliko ya teknolojia ya mawasiliano yanaanza kubadili kwa kasi namna jamii inavyoshiriki katika shughuli za kijamii huku makundi ya mitandao ya kijamii, hasa WhatsApp, yakitajwa kuchukua nafasi ya vikao vilivyokuwa sehemu muhimu ya maandalizi ya harusi na shughuli nyingine za kifamilia. Kwa miaka mingi katika jamii nyingi za Tanzania, vikao vya harusi…

Read More

Kilio cha Chadema, ACT Wazalendo kwa Dk Chakwera

Dar es Salaam. Vyama vya upinzani nchini, Chadema na ACT Wazalendo, vimewasilisha malalamiko yao kwa Mjumbe Maalumu wa Jumuiya ya Madola, Dk Lazarus Chakwera, kuhusu haki za binadamu na mwenendo wa uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025, kabla na baada yake. Katikati ya malalamiko hayo, Chadema kimewasilisha ombi rasmi kwa Dk Chakwera, ambaye ni Rais wa…

Read More

CAG afichua mkwamo barabara kujengwa hadi miaka minne

Dar es Salaam. Licha ya kuongezeka kwa mahitaji ya barabara nchini, Serikali kwa miaka minne mfululizo imetekeleza kwa wastani wa asilimia 50 tu maboresho ya barabara zilizopangwa kati ya mwaka wa fedha 2021/22 hadi 2024/25. Hiyo ni kwa mujibu wa Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere, ya mwaka…

Read More