Alichokibaini CAG mifumo ya kudhibiti ubovu wa barabara

Dar es Salaam. Wakati mabilioni ya fedha yakitumika kila mwaka katika matengenezo ya barabara, Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), imebaini kukosekana kwa mfumo madhubuti wa kupanga na kusimamia matengenezo hayo. Hatua hiyo, kwa mujibu wa ripoti ya ukaguzi wa ufanisi ya mwaka wa fedha 2024/25, imesababisha barabara kuharibika bila…

Read More

Azam yalia na pointi 20 ikiweka rekodi Ligi Kuu

MSIMU huu wa Ligi Kuu Bara 2025/26, takwimu za mechi za ugenini kwa vigogo wa ligi hiyo, Simba, Yanga na Azam zinaonyesha mabadiliko makubwa ya viwango tofauti na msimu uliopita na walikuwa wakitesa tu. Takwimu zinaonyesha Simba ambayo ipo nafasi ya pili Ligi Kuu Bara ikiwa na pointi  36, hadi sasa imecheza jumla ya mechi…

Read More

Mashujaa yakomaa na beki Mzenji

BAADA ya Mashujaa FC, kumkosa aliyekuwa beki wa kati wa kikosi cha Coastal Union, Mzenji Haroub Mohamed, katika dirisha dogo la Januari 2026, inaelezwa mabosi wa maafande hao wanapambana naye kwa ajili ya kuipata saini yake kwa msimu ujao. Mashujaa FC ilionyesha nia ya kumuhitaji beki huyo katika dirisha dogo la Januari 2026, baada ya…

Read More