Global Publishers
April 13, 2026
0 Comments
Ubalozi wa Marekani Dar es Salaam unakaribisha waombaji wenye sifa na wanaohitaji kujiendeleza kitaaluma kuwasilisha maombi yao kwa nafasi zifuatazo:
Nafasi Zilizopo
- Mtaalamu wa Uratibu wa Maudhui ya Kimkakati (Strategic Content Coordination Specialist)
- Msaidizi wa Rasilimali Watu (Human Resources Assistant)
Waombaji wanapaswa kuhakikisha kuwa wanakidhi masharti yote kabla ya kutuma maombi yao.

