Rais Samia na Katibu Mkuu wa EAC Wajadili Ushirikiano wa Kikanda Dodoma

Global Publishers
April 13, 2026
0 Comments

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Stephen Mbundi, katika Ikulu ya Chamwino, mkoani Dodoma, tarehe 13 Aprili 2026.

Mazungumzo hayo yalilenga kuimarisha ushirikiano wa kikanda, kujadili masuala ya maendeleo ya kiuchumi, pamoja na kuendeleza ajenda za pamoja ndani ya ukanda wa Afrika Mashariki.