SHINYANGA KUPAA KIUCHUMI KUPITIA KIWANJA CHA NDEGE: ULEGA
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amesema kukamilika kwa mradi wa upanuzi wa Kiwanja cha Ndege cha Shinyanga kunatarajiwa kuchochea shughuli za kibiashara na uwekezaji, hatua itakayosaidia kuimarisha muunganiko wa kiuchumi kati ya mkoa huo na mikoa jirani. Ulega ametoa kauli hiyo mkoani Shinyanga mara baada ya kukagua maendeleo ya mradi huo na kueleza kuridhishwa na…