Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Kuendeleza Ushirikiano na TTCL
Ikulu Zanzibar | 23 Machi 2026 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amekutana na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), Ndugu David Nchimbi, aliyeambatana na Mkurugenzi Mkuu wa TTCL, CPA Moremi Marwa, pamoja na ujumbe wao, waliofika kujitambulisha. Rais Dkt. Mwinyi ameahidi…