Wawili wafa ajali ya jahazi Nungwi, watatu hawajulikani walipo
Kigoma/Tanga. Wakati mwili wa aliyekuwa mtumishi wa afya, Amos Sika (33), ukipatikana, watu wawili wamefariki dunia na watatu hawajulikani walipo baada ya jahazi kuzama eneo la Nungwi kwenye Bahari ya Hindi. Sika alifariki dunia katika ajali ya boti ya Ziwa Tanganyika iliyotokea Machi 13, 2026 ikiwa imebeba watu 19 wakiwamo watumishi wa afya, wahamasishaji wake…