UJENZI WA BARABARA YA KAHAMA – BULYANHULU JCT – KAKOLA NI UWEKEZAJI WA KUDUMU WA BARRICK
Mchakato wa kumwaga lami katika barabara ya Kahama-Kakola inayojengwa kwa uwezeshaji wa kampuni ya Barrick nchini ukiendeleaMchakato wa kumwaga lami na kuisambaza ukiendeleaMsimamizi wa Ujenzi wa barabara ya Kahama-Kakola kutoka Wakala wa Barabara nchini (TANROADS) Mhandisi Marco Bee, akiongea kuhusu maendeleo ya ujenzi huo unaotekelezwa kwa ufadhili wa kampuni ya Barrick nchini.Msimamizi Msaidizi kutoka kampuni…