Watumishi CCM Karatu kujengewa makazi, Paresso aunga mkono
Dar es Salaam. Kutokana na uhaba wa nyumba za makazi kwa watumishi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Karatu, mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Arusha, Cecilia Paresso, ametoa msaada wa mbao kufanikisha ujenzi wa nyumba hizo. Watumishi wa CCM na jumuiya zao, kwa maana makatibu wa wilaya hiyo, hawakuwa na nyumba za kuishi,…