Pedro Goncalves afichua hesabu mpya za Yanga
YANGA imerudi nyumbani ikijiandaa kucheza tena ugenini dhidi ya Azam FC, lakini ule mchezo dhidi ya Prisons ukampa akili mpya kocha wao, Pedro Goncalves na sasa amewatenganisha f’lani kimehesabu mastaa wake. Iko hivi: Yanga ilipocheza juzi dhidi ya Prisons na kushinda kwa bao 1-0, goli lao lilitokea benchi dakika ya 61, alipoingia mshambuliaji Laurindo Aurelio…