Sh14.9 bilioni kujenge madaraja mawili Ileje

Ileje. Naibu Waziri wa Ujenzi, Godfrey Kasekenya amemtaka mkandarasi kutoka kampuni ya Jasco anayejenga daraja la Kabalisi na mkandarasi kutoka kampuni ya Gemen anayejenga daraja la Sange kukamilisha miradi hiyo kufikia Machi 30, 2026. Ujenzi wa madaraja hayo yanatarajia kugharimu jumla ya Sh14.9 bilioni  ambapo inadaiwa pindi yakikamilika yataondoa adha kwa wananchi ya kuvuka kwenda…

Read More

Wataalamu wa maabara wajengewa uwezo kukabili kipindupindu

Dar es Salaam. Serikali kupitia Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii imejipanga kuimarisha ufuatiliaji na kuwajengea uwezo wataalamu wa afya nchini ili kuboresha utambuzi wa haraka wa kipindupindu, hatua itakayosaidia kudhibiti ugonjwa huo kabla haujasambaa. Hayo yamebainishwa Machi 13, 2026 jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi wa maabara hiyo, Ambele Mwafulango, wakati akifunga mafunzo…

Read More

Polisi mbeya kudhibiti madereva wasio na leseni

Mbeya.  Ili kumaliza tatizo la ajali mkoani Mbeya, Jeshi la Polisi limesema litaanzisha operesheni maalumu kuwabaini na kuchukua hatua za kisheria dhidi ya waendesha vyombo vya moto wasio na leseni. Hatua hii inakuja kufuatia kushirikiana na Chuo cha Ufundi Stadi (Veta) mkoani humo kuanzisha mafunzo ya udereva wa awali yatakayodumu kwa mwezi mmoja. Mkoa wa…

Read More

KAMATI YA BUNGE YAMPA TANO RAIS SAMIA KWA MAKUMBUSHO YA JIOPAKI YA NGORONGORO LENGAI

……………….. Na Sixmund Begashe, Karatu Kamati ya kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imetaka Makumbusho mpya ya Urithi Jiopaki iliyopo katika mradi wa Jiopaki ya Ngorongoro Lengai Wilayani Karatu kutumika kama zao jipya la utalii litakaloongeza idadi ya siku kwa wageni wanaotembelea vivutio vya utalii hapa nchini.  Maelekezo hayo yametolewa na Mwenyekiti wa…

Read More

Kamati ya bunge yahimiza kasi maboresho bandari ya Tanga

📍Yasifu uwekezaji wa shilingi bilioni 429 NA MASHAKA MHANDO, Tanga Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imeiashauri Serikali kuongeza kasi ya utatuzi wa changamoto za miundombinu wezeshi katika Bandari ya Tanga, ili kuendana na kasi ya ongezeko la shehena na meli kubwa zinazoingia bandarini hapo kufuatia maboresho makubwa yaliyofanyika. Ushauri huo umetolewa Leo Machi…

Read More

KATIBU TAWALA SINGIDA ‘AWAFUNDA’ WATUMISHI WA TARURA

‎Katibu Tawala wa Mkoa wa Singida, Dkt. Fatuma Mganga amewataka watumishi wa Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) mkoani Singida kutambua kuwa sekta ya barabara ni kiungo muhimu cha maendeleo ya sekta nyingine kama elimu, afya na uchumi, hivyo wanapaswa kutekeleza majukumu yao kwa bidii na weledi ili kuhakikisha wananchi wanapata huduma bora….

Read More

DC MSANDO AKABIDHI MAGARI MAWILI TANESCO

MKUU wa Wilaya ya Ubungo, Albert Msando amesema amekabidhi magari mawili kwa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) ikiwa ni muendelezo wa jitihada zinazokufanywa na serikali katika kuhakikisha inaimarisha miundombinu na kuongeza ufanisi na uhakika wa upatikanaji wa huduma ya nishati ya umeme nchini. Msando amekabidhi magari hayo leo wilayani Ubungo mkoani Dar es Salaam, kwa…

Read More