EWURA YATOA ELIMU YA UVUNAJI WA MAJI YA MVUA KWA WENYE ULEMAVU SINGIDA
Mhandisi wa Maji na Usafi wa Mazingira wa EWURA Kanda ya Kati, Saidi Mwangalo,akiwasilisha mada kuhusu uvunaji na uhifadhi wa maji ya mvua kwa wadau mbalimbali mkoani Singida,wakati wa semina iliyotolewa leo Machi 13,2026 kwa wanachama wa Chama cha Watu Wenye Ulemavu, viongozi kutoka wilaya ya Singida pamoja na wajumbe wa Kamati ya Ushauri ya…