Pedro afichua mkakati mpya Yanga
PIGO kubwa ililopata Yanga pale kwenye safu ya ulinzi kutokana na beki na nahodha msaidizi, Dickson Job kuumia, limeendelea kuwa gumzo na kuibua wasiwasi, sio ndani ya timu pekee, bali hata kwa mashabiki wakijiuliza sasa itakuwaje bilaĀ uwepo wake. Job ambaye amefanyiwa upasuaji wa goti huku taarifa zikibainisha kwamba hadi kufikia Juni 2026 anaweza kurudi…