WANANCHI ARUMERU WAISHUKURU SERIKALI KWA UJENZI BARABARA ZA LAMI
:::::::: Wananchi wa kata ya Tengeru katika Halmashauri ya wilaya ya Meru wameishukuru Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kujenga barabara za lami zenye urefu wa Km 4.2 katika eneo hilo, hatua iliyosaidia kupunguza changamoto ya usafiri na kuchochea maendeleo ya kiuchumi na kijamii. Wakizungumza kwa nyakati tofauti,…