VODACOM TANZANIA FOUNDATION YAPELEKA HUDUMA ZA MAKAMBI YA AFYA BURE KWA WAKAZI WA MOROGORO.

Morogoro, Tanzania, 10 March 2026: Miaka ya hivi karibuni, magonjwa yasiyoambukiza yanaendelea kuwa changamoto kubwa kwa afya ya jamii nchini Tanzania. Magonjwa kama shinikizo la damu, kisukari, magonjwa ya moyo pamoja na saratani yanaongezeka kwa kasi, huku wengi wakigundulika wakiwa tayari katika hatua za mwisho za ugonjwa kutokana na kukosekana kwa uchunguzi wa mapema na…

Read More

Aliyeanza na mtaji wa elfu mbili, apewa Sh5 milioni, kiti mwendo

Sengerema. Baada ya dhiki, faraja. Ndivyo ilivyokuwa kwa mkazi wa Sengerema aliyepata ulemavu wa kudumu baada ya kudondokewa na kifusi mgodini, lakini akaanza kujiajiri kwa kushona viatu kwa mtaji wa Sh2,000. Mwananchi huyo alikuwa miongoni mwa walioudhuria mkutano wa hadhara wa Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi uliofanyika…

Read More

Vodacom Wakabidhi Matundu 10 ya Vyoo Shule ya Mkata

Bakari Mahundu March 12, 2026 0 Comments Vodacom Tanzania Foundation, Twende Butiama pamoja na Stanbic Bank Kwenye Picha ya Pamoja Wakizindua Matundu 10 ya Kisasa ya Vyoo Shule ya Msingi ya Mkata, Tanga. Vodacom Tanzania Foundation kwa kushirikiana na Twende Butiama pamoja na Stanbic Bank wamejenga matundu 10 ya kisasa ya vyoo katika Shule ya…

Read More

BALOZI CP KAGANDA AKUTANA NA MKURUGENZI WA IDARA YA AFRIKA NA ASIA KUIMARISHA USHIRIKIANO

Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe, Kamishna wa Polisi (CP) Suzan Kaganda, amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Idara ya Afrika na Asia katika Wizara ya Mambo ya Nje na Biashara za Kimataifa ya Zimbabwe, Bw. Mqabuko Dube. Katika mazungumzo hayo yaliyofanyika nchini Zimbabwe, viongozi hao walijadili masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Tanzania na…

Read More

Vaso Psycho Inawasha Moto wa Ushindi Mkubwa

Global Publishers March 12, 2026 0 Comments Wapenzi wa michezo ya kasino mtandaoni sasa wana sababu mpya ya kutabasamu baada ya kuzinduliwa rasmi kwa Vaso Psycho, mchezo mpya wa kusisimua kutoka Expanse Studios unaopatikana Meridianbet. Mchezo huu umeletwa mahsusi kwa wachezaji wanaopenda burudani ya kipekee na nafasi ya kushinda zawadi kubwa kwa mtindo wa kisasa….

Read More