Kiu ya ubingwa yaitesa KVZ
KATI ya timu za vikosi zinazoshiriki Ligi Kuu Zanzibar (ZPL) ambazo hazijawahi kubeba ubingwa wa ligi hiyo, KVZ ni mojawapo tangu kuanza kwa ligi hiyo mwaka 1984. Nyingine ni Uhamiaji. Akizungumza na Mwanaspoti, kiungo mshambuliaji wa KVZ, Seif Said Seif ‘Tiote’ amewasihi mshabiki kutochoka kuwasapoti kwani nao wanapambana kuhakikisha taji linapatikana. “Tunajua mashabiki wa KVZ…