Waziri: Tunatambua yanayoendelea soko la Darajani
Unguja. Wakati kukiwa na malalamiko na mijadala kuhusu vikosi vya Idara Maalumu za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) kuwapiga wananchi na kuwanyang’anya bidhaa katika Soko Kuu la Darajani, Serikali imekiri kuwepo kwa kero hiyo na kutaka kusitishwa kwa matumizi ya silaha kuanzia sasa. Hayo yameelezwa leo Jumatano Machi 11, 2026 na Waziri wa Nchi, Ofisi…