Kwa hali hii matumizi ya gesi yetu hayaepukiki

Niliwahi kuulizwa na rafiki wa Kijerumani: “kinywaji chenu asilia ni kipi? Tulikuwa katika mapumziko nje ya Motel Agip. Ili kumjibu haraka nilimuita muuza madafu. “Mchongee moja laini huyu mgeni wangu.” Muuza madafu alitomasa bidhaa zake, akauliza, “maji au nyama?” Nilimwambia maji maana mgeni huyu hakuuliza chakula, bali kinywaji. Akachongewa dafu na kuyafurahia maji yake. Wakati…

Read More

Kwa nini watoi wanaonewa bure?

Japo sijui umri wala sura zenu, kwa walengwao mjijuao, nitakuiteni waheshimiwa msiojulikana mnaofanya mambo yanayojulikana tena ya kuudhi. Nawapa shikamoo kama ishara ya heshima ila siyo kuwazeesha bali kuwasifia na kuwafurahisheni msiniteke, kunipoteza, hata kunidedisha kama wale wenzangu. Juzi, nilisikitika sana na kushangaa. Nilihuzunika na kuchukia namna wengine wanavyokasirika na kufyatuka kiasi cha kupayuka na…

Read More

Mchakamchaka siku 12 za mashambulizi Mashariki ya Kati

Leo zimetimia siku 12 tangu kuanza kwa mashambulizi ya anga Mashariki ya Kati, baada ya Marekani na Israel  kuishambulia Iran, taifa la Kiislamu lenye utajiri wa mafuta katika ukanda huo. Mashambulizi hayo yalianza Februari 28, 2026, pale Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei alipoteza maisha siku hiyo sambamba na viongozi wengine waandamizi Zaidi ya…

Read More

Mbinu mpya uingizaji wa mihadarati zinatia hofu

Biashara haramu ya dawa za kulevya inaendelea kubadilika kadiri mamlaka zinavyoimarisha udhibiti wake. Hivi sasa, wafanyabiashara wa dawa hizo wamebuni mbinu mpya ya kuziingiza Zanzibar, hali inayoongeza wasiwasi kuhusu usalama wa jamii, hususan watoto na vijana. Mbinu hii mpya imeibuka baada ya njia nyingi zilizokuwa zikitumiwa kwa muda mrefu, zikiwemo kuzimeza na kuzibeba tumboni, kugundulika…

Read More