Trump akutana na Waziri Mkuu wa Ireland kwenye Ikulu ya Marekani
Kikao hicho ni muhimu kila mwaka wakati unaokaribia siku muhimu ya Ireland ya St Patrick’s, kwa kawaida huzungumzia masuala moja kwa moja kati ya Marekani na Ireland. Trump alisema akiketi kando ya Martin kwenye ofisi yake ya Oval huko White House, alisema kwamba “Kwa hakika tutajibu uliotangazwa na Umoja wa Ulaya ambao Ireland ni mwanachama,…