Meridian Bonanza Yaleta Nguvu Mpya ya Ushindi Meridianbet

Global Publishers March 22, 2026 0 Comments Soko la michezo ya kubashiri limepata burudani mpya inayotikisa anga la ushindi, Meridian Bonanza. Mchezo huu umeingia kwa kishindo ukiwaletea wabashiri msisimko, ubunifu na fursa kubwa za kushinda. Kwa yeyote anayependa kubashiri na ndoto ya kuona ushindi wa uhakika, Meridian Bonanza ni mchezo wa kucheza na kushuhudia ushindi…

Read More

Maelfu Washiriki Kilimanjaro Marathon Moshi, Yavunja Rekodi Licha ya Mvua

Licha ya mvua kubwa kunyesha katika Mkoa wa Kilimanjaro Region, maelfu ya washiriki na watazamaji walijitokeza kushiriki na kushuhudia toleo la 24 la Kilimanjaro International Marathon lililofanyika mjini Moshi Jumapili. Katika mbio za kilomita 42 kwa wanaume, mwanariadha kutoka Kenya, William Morwabe, aliibuka mshindi kwa muda wa saa 2:18:52, akionesha ubora mkubwa licha ya changamoto…

Read More

Simba yapanda nafasi ya pili ikiichapa TRA United

Klabu ya Simba imeibuka na ushindi wa mabao 3-0 katika mchezo wa Ligi Kuu Bara ambapo timu hiyo sasa imesogea hadi nafasi ya pili katika msimamo wa ligi ikifikisha pointi 31 ikiishusha Azam FC ambayo ina pointi 29 katika nafasi ya tatu. Katika mchezo huo uliopigwa kwenye Dimba la Major General Isamuhyo, Mbweni, Dar es…

Read More

SERIKALI INABORESHA MIUNDOMBINU ILI MTOTO WA KITANZANIA APATE HAKI YAKE YA MSINGI YA ELIMU BORA – PROF. SHEMDOE

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu -TAMISEMI Mhe. Prof. Riziki Shemdoe amesema Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI inaendelea kusimamia uboreshwaji wa miundombinu ya elimu nchini, ili kuhakikisha kila mtoto wa Kitanzania anapata haki yake ya msingi ya elimu bora katika mazingira mazuri na rafiki ya ujifunzaji na ufundishwaji.  Prof. Shemdoe amesema,…

Read More

Timu kutathmini majengo ya Serikali yasiyotumika Dar

Dar es Salaam. Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu), Dk Jim Yonazi, amesema timu maalumu ya kutathmini majengo ya Serikali yasiyotumika jijini Dar es Salaam inaendelea na kazi hiyo. Timu hiyo iliundwa kufuatia maelekezo ya Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba, aliyoyatoa Januari 22, 2026, alipotembelea mji wa Serikali, Mtumba…

Read More