Azam yairudisha Yanga Benjamin Mkapa, yataja sababu

Azam imethibitisha kwamba mchezo wake dhidi ya Yanga, Jumapili, Machi 15, 2026 utachezwa katika Uwanja wa Benjamin Mkapa badala ya Azam Complex, Dar es Salaam. Ofisa Habari na Mawasiliano wa Azam FC, Thabit Zakaria ‘Zaka Zakazi’ amesema kuwa wameamua kucheza mechi hiyo katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kwa vile wamiliki wamewapa ruhusa ya kuutumia kwa…

Read More

Walimu hawana miujiza kumbadili mwanao

Dar es Salaam. Katika jamii nyingi za leo, imezuka dhana potofu kwamba kazi ya kulea watoto ni ya walimu. Wazazi wengi wamejikuta wakitelekeza jukumu lao la msingi, wakikabidhi watoto wao kwa walimu kana kwamba shule ndiyo nyumba ya pili ya mtoto kwa kila jambo. Mtoto anaposhindwa kimaadili au kielimu, lawama huelekezwa kwa walimu kwa haraka mno,…

Read More

Viongozi 70 CCM Moshi wasaini kumkataa kigogo mwenzao

Dar es Salaam. Msuguano ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Moshi Mjini, mkoani Kilimanjaro unaonekana kuingia katika hatua ngumu zaidi baada ya viongozi 70 kusaini barua ya kutokuwa na imani na kigogo wa chama hicho ngazi ya wilaya. Taarifa za uhakika zilizolifikia Mwananchi, zinaeleza miongoni mwa waliosaini barua hiyo iliyotumwa kwa Katibu wa…

Read More

Mushi anavyoamini Kiswahili ni pesa, fursa kwa wanawake

Dar es Salaam. Katika kipindi ambacho lugha ya Kiswahili inaendelea kupanua mipaka yake kimataifa, jina la Consolata Mushi limeendelea kujitokeza kama nguzo muhimu katika safari hiyo. Akiwa Katibu Mtendaji wa Baraza la Kiswahili la Taifa (Bakita), Mushi ni miongoni mwa viongozi wanaoamini kwa dhati kuwa Kiswahili si tu chombo cha mawasiliano, bali ni rasilimali na…

Read More

Doumbia ni suala la muda tu Yanga

UONGOZI wa Yanga, umetaja mambo mawili ambayo yatalifanya benchi la ufundi la timu hiyo kuamua kuwarejesha kikosini au kuachana na nyota watatu wa kimataifa ambao timu hiyo imewatoa kwa mkopo kwenda timu tatu tofauti katika nchi za Afrika Kusini, Algeria na Afrika Kusini. …

Read More

ASEC yafunguka usajili straika Simba

SIMBA inapiga hesabu za kumchukua staa wa ASEC Mimosas, Souleymane Fofana ambaye ni mjuzi wa kufumania nyavu kwa mabao ya viwango. Sasa uongozi wa klabu yake umefunguka namna ya kukamilika kwa dili hilo. Simba inapiga hesabu kali za kumsajili mshambuliaji Fofana anayeichezea ASEC…

Read More