Hii ni safari mpya ya Kagoma Simba
BAADA ya kiungo mkabaji wa Simba, Yusuph Kagoma kuongeza mkataba wa miaka miwili kuendelea kuitumikia timu hiyo, ameelezea safari yake mpya namna alivyo na kazi ya kuhakikisha mchango wake unakuwa muhimu katika kutimiza malengo ya timu. Kagoma aliyezaliwa Gungu, Kigoma Aprili 3, 1996 na sasa ana umri wa miaka 29), alijiunga na Simba Julai 8,…