Migogoro ya ardhi na mirathi inavyowatesa wananchi
Tanga. Imeelezwa kuwa, migogoro ya ardhi na mirathi imeendelea kuwa chanzo cha malalamiko kwa wananchi nchini, hali iliyosababisha maelfu ya watu kutafuta ushauri kupitia kliniki za sheria zinazoendeshwa na Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Kupitia kliniki hizo, mawakili hushughulikia mashauri mbalimbali kwa kutoa ushauri wa kisheria na kuelekeza hatua zinazopaswa kuchukuliwa ili wananchi wapate…