Prisons v Yanga kupigwa Ali Hassan Mwinyi Tabora
Siku moja baada ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kuufungia Uwanja wa Sokoine kwa kukosa sifa ya kuchezewa mechi za mashindano yaliyo chini ya shirikisho hilo, Tanzania Prisons imehamishia mechi yake dhidi ya Yanga mkoani Tabora kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi. Sokoine umefungiwa jana Machi 8, 2026 ikiwa ni muda mfupi baada ya mechi…