Maji ni Uhai: TRAMEPRO Yaadhimisha Siku ya Maji Duniani 2026
Kila mwaka tarehe 22 Machi, dunia huungana kuadhimisha Siku ya Maji Duniani—siku muhimu inayotukumbusha thamani ya rasilimali maji katika maisha ya kila siku. Mwaka huu wa 2026, maadhimisho haya nchini Tanzania yanafanyika katika Mkoa wa Morogoro, yakileta pamoja wadau wa sekta ya maji, afya na mazingira. Katika kuadhimisha siku hii, Shirika la Dawa Asilia na…